| wakazi wa Njedengwa Manispaa ya Dodoma wakihamisha vyombo vyao baada ya nyumba zao kubomolewa na CDA |
| Mabaki ya mabomu yaliyotumiwa na Polisi kuwaondoa wakazi wa Njedengwa Dodoma |
| FFU |
| Mama ambaye jina lake halikupatina akiwa amezimia baada ya kubomolewa nyumba yake huko Njedengwa Dodoma |
| Moja ya majeruhi akisidikizwa na Muuguzi baada ya kujeruhiwa na Polisi katika Zoezi la kuwabomolea Wananchi wa Njedengwa Dodoma |
| Polisi akiangalia silaha za asili zilizotumiwa na Wananchi kupambana na waliokuwa wakibomoa makazi yao |
| Tinga tinga likibomoa nyumba za Wananchi waliodaiwa kuvamia na kujenga eneo la Mwekezaji Njedengwa Dodoma |
| Waandishi wa habari nao walikumbana na mabomu wakati walipokuwa wanatekelza majukumu yao katika tukio la kuvunjiwa nyumba wakazi wa Njedengwa Dodoma,hapa wakinawa uso kupunguza makali ya mabomu |
![]() |
| Tingatinga likibomoa moja ya nyumba |

No comments:
Post a Comment