Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma Balozi Juma Mwapachu(katikati) akitembelea Chuo hicho leo katika ziara yake ya kwanza tangu ateuliwe na Rais kushika nafasi hiyo .wengine kulia ni Prof Ludovick Kinabo na kushoto ni Dr Rex J .Kidyalla mkurungenzi wa Maktaba UDOM
Mwenyekiti Mpya Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) Balozi Juma Mwapachu akiongea na Wanafunzi wa Chuo cha Sayansi ya Tiba alipotembelea Chuo hapo leo
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) akitembelea baadhi ya meneo ya Chuo hicho kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika wadhifa na Mhe Rais hivi karibuni
(Picha zote na Ibrahim Joseph)
.
No comments:
Post a Comment