| Mshambuliaji wa Yanga Mghana Keneth Asamoah akishangilia baada ya kufunga bao lake kwenye mechi yao na Polisi Tanzania ilichezwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma ,Yanga walishinda goli 1-0 |
| Beki wa timu ya Polisi Tanzania Eliasa Mashaka (kushoto) akijaribu kumzuia Mchezaji wa Yanga Mzambia Devis Mwape kwenye mechi yao ilichezwa uwanja wa Jamhuri Dodoma |
| Wachezaji wa Timu ya Yanga wakimpongeza mchezaji mwenzao Keneth Asamoah (katikati)baada ya kuifungia timu yao goli pekee walipocheza na timu ya Polisi Tanzania katika uwanja wa Jamhuri Dodoma |
No comments:
Post a Comment