Mwenyekiti Mpya Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) Balozi Juma Mwapachu akiongea na Wanafunzi wa Chuo cha Sayansi ya Tiba alipotembelea Chuo hapo leo |
Mwenyekiti Mpya Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) Balozi Juma Mwapachu akiongea na Wanafunzi wa Chuo cha Sayansi ya Tiba alipotembelea Chuo hapo leo |
Mshambuliaji wa Yanga Mghana Keneth Asamoah akishangilia baada ya kufunga bao lake kwenye mechi yao na Polisi Tanzania ilichezwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma ,Yanga walishinda goli 1-0 |
Beki wa timu ya Polisi Tanzania Eliasa Mashaka (kushoto) akijaribu kumzuia Mchezaji wa Yanga Mzambia Devis Mwape kwenye mechi yao ilichezwa uwanja wa Jamhuri Dodoma |
Wachezaji wa Timu ya Yanga wakimpongeza mchezaji mwenzao Keneth Asamoah (katikati)baada ya kuifungia timu yao goli pekee walipocheza na timu ya Polisi Tanzania katika uwanja wa Jamhuri Dodoma |
VIJANA WA KIJIJI CHA NTYUKA KILICHOPO NJE KIDOGO YA MANISPAA YA DODOMA WAKIPELEKA KUUZA KUNI MJINI ILI KUJIPATIA KIPATO. |