Friday, October 28, 2011

WATEJA MPO WAPI?

MPIGA PICHA  WA KUJITEGEMEA AKIPITA MITAANI KUTAFUTA WATEJA WAKE KAMA ALIVYOKUTWA KATIKA  MTAA WA BARABARA YA 11 MJINI DODOMA

MKUU WA MKOA WA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AKIONGEA NA MADIWANI WA WILAYA YA BAHI  ALIPOKUTANA NAO KUJITAMBULISHA KWAO (KULIA) MKUU WA WILAYA HIYO BEATY MKWASA

No comments:

Post a Comment