VIJANA WA KIJIJI CHA NTYUKA KILICHOPO NJE KIDOGO YA MANISPAA YA DODOMA WAKIPELEKA KUUZA KUNI MJINI ILI KUJIPATIA KIPATO.
MKURUGENZI WA PAICO LTD PETER FASHION AKIWAONYESHA BIDHAA ZINAZOUZWA NA KAMPUNI HIYO ,WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS UTALII 2011/2012 MKOA WA DODOMA WALIPOTEMBELEA MOJA YA MADUKA YA KAMPUNI HIYO LILILOPO BARABARA YA 11 MKOANI HAPA JANA.
No comments:
Post a Comment