Sunday, October 16, 2011

DODOMA BENKI ASUBUHI HII HALI IKO HIVI

Baada ya Boom kutoka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya Juu Mkoani Dodoma hali leo asubuhi ilikuwa hivi pale CRDB!!!! Ni mwendo wa mkorogano, watu wamejihimu kupanga foleni tangu saa 11 asubuhi !!!!!!


No comments:

Post a Comment