Tuesday, October 18, 2011

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Zelote Steophen (katikati) akionyesha noti bandia za shilingi elfu tano na kumi ambazo walizikamata kutoka miongoni mwa Wafanyafanya biashara  wa Mpesa alizotaka kuwababakia Wateja wake wanaokuja kupata huduma hiyo kwake Polisi ilifanikiwa kumwahi kabla ya kutimiza azima hiyo mbay akwa Wananchi

No comments:

Post a Comment