Tuesday, October 25, 2011

UCHOMAJI NYAMA YA KUKU DOM.

Mzee Ally Salum (70)  Mkazi wa Airport Dodoma akichoma kuku katika  eneo la mambopoa ambapo alishauri Wazee wenzake wafanye kazi waache kuombaomba Familia zao

No comments:

Post a Comment