Saturday, October 15, 2011

MIAKA HAMSINI YA UHURU, DODOMA TUMEJIANDAAJE?

Hii ndiyo nembo inayotumika kutangaza shehere za miaka hamsini ya Uhuru, lakini kwa DODOMA bado pilika zinaenda kimya kimya, Bunge linatarajiwa kuanza tarehe 08 Nov, je tutaungana na waheshimiwa wabunge katika maadhimisho hayo pamoja na maandalizi yake?

No comments:

Post a Comment