Sunday, October 16, 2011

TEMBELA DUKA LA UREMBO WA MAGARI LA DONS AUTOMOBILE AUTOSPARES AND ACESSORIES BARABARA YA 12

Mali mpya kutoka Uingereza, Mashine za kuoshea magari viwanda vidogo na majumbani aina ya Halfords ambazo zinaaminika kuwa na uwezo mkubwa duniani kote!!!!!





Pafyumu za maana kwaajili ya harufu nzuri kwenye gari lako, unaendeshaje gari linanuka mjini kama banda la kuku? tembelea Dons automobile spare parts and accessories iliyopo mkabala na barabara ya hospitali zinatazamana na Peter Fashion


Dash board polish inasaidia kutunza sura ya dash board ya gari lako na kukufanya uheshimike mujini!!!!

Kununua Gari ni hatua moja lakini kulifanya lipendeze ndiyo mtihani mkubwa, tembelea Dons automobile spare parts accessories  shop iliyopo barabara ya 12 katika manispaa ya Dodoma ujipatie vitu muhimu kwa gari lako

No comments:

Post a Comment